Content removal request!


Gor Mahia wachupa hadi nafasi ya nne kwenye ligi kuu ya soka nchini

Mabingwa watetezi wa soka humu nchini Gor Mahia walichupa hadi nafasi ya nne baada ya ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Wazito Fc. Gor Mahia ambao walianza msimu huu kwa matokeo mabaya wanatumahi kurejelea msururu wa misimu ya apo awali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football