Content removal request!


FAULO ZA AZAM FC DHIDI YA KAGERA SUGAR

Kipa wa Kagera Sugar, Juma K Juma, alimlaumu mwamuzi Hans Mabena aliyechezesha mchezo wao dhidi ya Azam FC akisema refa huyo alikuwa anawaadhibu wao kwa kufanya madhambi ambayo hata Azam FC waliyafanya lakini akawaacha. Video hii inakuletea rafu zote ambazo Azam FC walizifanya siku hiyo. Walifanya faulo zaidi ya 13 huku wakioneshwa kadi moja tu ya njano.