Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi dhidi ya Kuvesa Katembo, waliokkuwa wakizichapa kwenye uwanja wa jamhuri jijini Dodoma. Mwakinyo ameeleza kuwa pambano hili lililkuwa ni la kujipima kabla ya kwenda kwenye pambano lake lijalo la kutafuta ubingwa.