Content removal request!


SIMBA YAFUNIKA! ONA Kikosi Bora cha msimu wa 2019/20, Kagere, Chama, Bocco, Luis

Kikosi bora cha msimu wa 2019/20 huku Simba wakitoa wachezaji sita kilichotangazwa katika tuzo hizo; golini Aishi Manula (Simba) , mabeki Nico Wadada (Azam), David Luhende (Kagera Sugar) Bakari Mwanyeto (Coastal Union), Sergie Wawa (Simba), viungo Zawadi Mauya (Kagera Sugar), Lucas Kikoti (Namungo), Clatous Chama (Simba). Na washambuliaji ni Meddie Kagere (Simba), John Bocco (Simba), Luis Miquissone (Simba) Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars