Timu ya taifa ya soka ya Kenya itachuana na Mali kesho kwenye mechi ya pili ya kundi A ya mashindano ya bara Afrika kwa wachezaji wasiokuwa na uwezo wa kuskia, huku ikitafuta ushindi wa kwanza baada ya kushindwa na Senegal kwenye mechi yao ya ufunguzi. Timu hiyo ya Kenya ilifanya mazoezi yake ya mwisho leo uwanjani Nyayo kabla ya mechi hiyo kesho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Deaflympics