Mbwana Samatta amefunga mabao mawili na kuipa ushindi klabu yake ya Fenerbahce wa 2-1 dhidi ya Fatih Karagumruk kwenye mchezo wake wa pili katika Super Lig ya Uturuki Jumamosi hii.