HILI NDIO GOLI LILILOMPA USHINDI SAKHO KATIKA GOLI BORA LA CAF LEO |MANE AMVULIA KOFIA
Mane ashindwa kuzuia furaha baada yakuliona goli la Sakho amtaja kua nimrithi wake mida mfupi ujao amtabiria makubwa
#sakho #tuzozaczf #yanga #feitoto # bestcafgoal #mame10