MWALIMU KASHASHA AKICHAMBUA MAGOLI YA SIMBA “SNAKE SHOT, SAME BENDING”
Simba SC Leo imepata ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu Tanzania bara, macoli ya Simba SC yamefungwa na Chama, Bwalya, Meddie Kagere aliyefunga magoli mawili na Luis Jose Miquissone.