Content removal request!


Kenya yachuana na Togo

Mechi baina ya timu ya taifa ya soka Harambee Stars na Togo inaendelea sasa hivi katika uga wa Kegue jijini Lome, mchuano ambao ni wa kufuzu kwa kombe la bara Afrika. Mechi hii haina umuhimu kwa timu hizo mbili kwani tayari zimebanduliwa na haziwezi kufuzu kwa fainali hizo zitakazoandaliwa nchini Cameroon mwaka ujao. Mara ya mwisho kukutana; Togo na Kenya zilitoka sare bao 1-1 mwezi Novemba mwaka 2019 Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCsports #KBClive