SPOTI HINTS: SIMBA KUKIPIGA NA JS SAOURA Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars Emmanuel amunike Leo amechagua kikosi cha timu ya taifa zitachovaana na Uganda the craines marchi 24 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika michuano ya kufuzu kombe la mataifa Africa AFCON nchini Cameroon mwaka huu. Na kikosi cha simba kesho kinatarajiwa kushuka dimbani nchini Algeria kuumana na js saoura katika uwanja wa aout uliopo mji wa bechar katika ligi ya mabingwa barani afrika. Timu ya taifa ya vijana chini ya umri 17 Serengeti boys Leo imeangukia poa baada ya kupoteza mchezo wao wa mwisho dhidi ya uturuki katika michuano ya mechi za kirafiki uefa assist ambapo imefungwa magoli 5 -0. Meneja wa zamani wa Chelsea, Leicester na Fulham Claudio Ranieri, mwenye umri wa miaka 67, anakaribia kukamilisha taratibu za kuichukua klabu yake ya zamani Roma, a baada ya upande wa ligi hiyo ya dataja la A kumfuta kazi Eusebio di Francesco. (Sky Sports katika ligi kuu ya uingereza michezo mbalimbali itapigwa katika viwanja tofauti wakati vinara wa ligi hyo man city waikaribisha Watford... Huku Newcastle na Everton na Southampton na Tottenham.. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho