Chama ASEMA TP Mazembe hukohuko kwao DR Congo watafungika tu!.
KIUNGO mpaka rangi wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, amehuzunika kwa kushindwa kuwafunga TP Mazembe kwenye Dimba la Taifa lakini akaweka wazi kwamba hukohuko kwao DR Congo watafungika. #DreamOnlineTv #Cham #ThisisSimba #Congo