Content removal request!


"Sema kimeumana" | UTACHEKA... UKiwasikiliza mashabiki hawa wa Simba | baada ya Yanga vs Azam

Sikiliza walichokisema baadhi ya mashabiki wa klabu ya Simba Sc walijitokeza kuutazama mchezo wa ligi kuu leo kati ya Yanga dhidi ya Azam na kushuhudia mchezo huo ukimalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao moja bila.