Content removal request!


SHABIKI WA SIMBA MAREKANI ATOA YA MOYONI.

@Mtangazaji #SimbaSportsClub #Tanzania Mmoja wa mashabiki wa timu ya soka ya Simba ya nchini Tanzania inayoshiriki ligi ya soka Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho barani Afrika,Nolman Ongando ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya soka ya watanzania waishio Houston-Tanzania FC ametoa maoni yake kuhusu Klabu ya Simba.