VIBE ya MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUWAFUNGA IHEFU - "WACHEZAJI Wakiharibu, TUSIPANIKI" Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya, IHEFU SC vs YANGA SC, umechezwa leo Desemba 23, katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya... Dakika ya 13, Deus Kaseke ameiandikia Yanga SC bao la Uongozi, akimalizia pasi sukari aliyopewa na Saido Ntibazonkiza... Dakika ya 49, Yacouba Sogne, ameiandikia Yanga bao la pili akimalizia pasi nyingine maridadi ya Saido Ntibazonkiza... Dakika ya 59, kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' ameiandikia Yanga bao la tatu.... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Yanga kuondoka na alama tatu muhimu kwa kuwachapa Ihefu mabao ( 3 - 0 ).... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline