Content removal request!


Angalia Goli La Uganda Vs Cape Verde 17/11/2018 - AFCON 2019 CAMEROON

Uganda yafuzu AFCON 2019 baada ya kuifunga Cape Verde Bao Moja kwa Sifuri, Sasa uganda wanapointi 13 wakiongoza kundi wamebaki na mechi moja na Tanzania itakayochezwa Dares salaam Tanzania.