Content removal request!


SIMBA WATUA Kwa CHIKWENDE wa FC PLATINUM, HESABU za MWISHO Zimepigwa

SIMBA WATUA Kwa CHIKWENDE wa FC PLATINUM, HESABU za MWISHO Zimepigwa IMEELEZWA kuwa Perfect Chikwende nyota wa Klabu ya FC Platinum yupo kwenye hesabu za mwisho kutua ndani ya Klabu ya Simba. Awali nyota huyo ambaye alimtungua Aishi Manula kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika alikuwa anatajwa kutua ndani ya Azam FC. Mabosi wa Azam wanatajwa kuwa walikuwa wanahitaji kumuongeza ndani ya kikosi hicho ila Kocha Mkuu, George Lwandamina inaelezwa kuwa alikuwa hajamuelewa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline