Content removal request!


Kombe la MozzartBet : Tusker FC na  Kakamega Homeboyz zitachuana kwenye fainali ya kuwania kombe la Mozzartbet kesho baada ya mechi ya nafasi ya tatu baina ya Ulinzi Stars na AFC Leopards. Mechi zote mbili zitaoneshwa moja kwa moja na runinga ya KBC channel 1. #KBCniYetu