Leo kunapigwa michezo miwili ya NBC premier league viwanja viwili tofauti Saa nane kamili Mchana dimba la Highland Estate Mbarali Mbogo majia Ihefu vs Wanakoma kumwanya Mbeya City Dimba la Manungu Complex maafande Ruvu Shooting vs KMC wana kino boys #Mponzisports