🔴#LIVE​: Ona Simba Watua Kutoka Morocco, Sakho na Kanoute Waongoza Msafara by @BM TV TANZANIA - Post Details

🔴#LIVE​: Ona Simba Watua Kutoka Morocco, Sakho na Kanoute Waongoza Msafara

Kikosi cha @simbasctanzania kimetua Jijini Dar es salaam kikitokea Morocco ambako kiliweka Kambi ya awali. Kikosi hicho kimerejea pungufu baada ya nyota wake wengi kuondoka kambini Morocco mapema mara baada ya kuitwa kwenye Timu za Taifa kwa Mataifa tofauti tofauto. Inatajwa kuwa mara baada ya Michezo ya kimataifa kupita Timu ya Simba itaondoka Nchini kwenda nje ya Tanzania kuweka kambi nyingine kabla ya Mechi ya Ngao ya Jamii itakauochezwa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam. SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

Similar Posts!

MZARAMO WA SIMBA Awacheka Yanga, Atamba Kuwashangilia Mamelod Sundowns Wakija Kwa Mkapa

#BmtvTanzania #Bmtv Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

MSIGWA Afafanua, Yanga Kupewa Milioni  Wakati Wamefungwa na USM Algers

BmtvTanzania Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK ...

MWANANCHI Awashangaa Simba, Wameifunga Ruvu Shooting ila Wametoka Bila Furaha

SIMBA Walivyotua Kimkakati Kuifunga Ruvu Shooting Bila Huruma

MCHEZAJI WA RIVERS UNITED Aitamani Simba, Yanga na Azam / Amkubali Mayele

UTACHEKA, Mzee wa Utopolo Awacheka Simba, Kutolewa na Wydad

SIMBA Hatujatolewa Kiboya, Wydad Walianza Kuswali Kabla Hawajaswaliwa, Ahmed Ally Atamba