ยฉ2022 Mussa Nkoningo All Rights Reserved
MAYELE Atupiwa Majini ya Uchawi na Viongozi wa Yanga Itakushangaza Afunguka kila kitu Ni Aibua Sana.
EXCLUSIVE:BALEKE HATOCHEZA LIGI YA MABINGWA? IMETHIBITIKA YUPO SIMBA KWA MKOPO TP MAZEMBE WALISAJILI
๐ฅ๐๐ฆ๐ ๐ ๐ง๐๐ ๐จ ๐ฐ ๐ก๐๐จ๐ ๐จ ๐ญ๐๐ง๐๐๐๐ญ๐ข ๐๐จ๐ง๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ง๐จ๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐จ๐ก๐๐ ๐๐๐/๐๐ฃ๐๐ก๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐ ๐ช๐๐ฅ๐๐๐จ ๐ง๐๐ก๐ ๐๐ก๐๐ฆ๐๐๐ก๐๐๐ญ๐
"Hatuwezi kuzungumzia kuhusu kuwapokea SIMBA kwa sababu hatupo katika Mashindano ya CAF hivyo Hatuwezi kusema chochote katika hilo tutakuwa na wakati mzuri wa kuzungumza chochote kuhusu Simba tutakaporejea na kukutana nao katika Mashindano hayo." "Kwa sasa hatupo naomba mtuache kwani hatuhusiki kwa lolote na wala hatuhitaji kusikia Lolote Juu ya Taarifa hiyo". Ameeleza Vina Maphosa Meneja Habari KAIZER CHIEFS Afrika Kusini alipofanya Mahojiano na Mussa Nkoningoo ยฉMussa Nkoningo All Rights Reserved