KISA VIPAJI VYA MAKINDA: Kocha Simba Awaacha Kina Kagere Chumbani na Kupanda Jukwaani by @BOIPLUS TV - Post Details

KISA VIPAJI VYA MAKINDA: Kocha Simba Awaacha Kina Kagere Chumbani na Kupanda Jukwaani

Mara baada ya kuwasili uwanja wa Uhuru tayari kwa pambano lao la Ligi Kuu dhidi ya Lipuli, Kocha wa Simba Mbelgiji Sven Vanderbroeck aliwaacha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwenye chumba cha kubadilishia nguo na yeye kupanda jukwaani kwa lengo la kutazama vipaji vya timu ya vijana ya Simba iliyokuwa ikicheza mchezo wa utangulizi

Similar Posts!