Leo Machi 29 2022 Mpenja Tv tunakuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Dhidi ya Timu ya taifa ya Sudan unaopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa. . Asante kwa kutuchagua , Fungua video hii kupata habari kamili. . #taifastars #benjaminmkapa #mpenjatv