Arsenal star Mesut Ozil has wedded a famous Turkey model and Miss Turkey gulse amine Today. Drop down your comments for this event. KINDLY SUBSCRIBE FOR MORE BRILLIANT VIDEOS.
K-league All stars do Ronaldo's 'SIUUU' celebration after scoring against juventus today
Kagera sukari wamerejea ligi kuu baada ya kumdunga sindano mbili za moto Pamba FC kutokea mwanza. KAGERA 2 - PAMBA 0 SUBSCRIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI KILA SIKU.
HASSAN DILUNGA amezidi kuipaisha simba kwa vao lake la pekee kwenye dakika za nyongeza leo hii pale uwanja wa shamba la bibi jijini dar es salaam. Subscribe hapo juu ili uwe wa kwanza kutazama video nyingine kama hii.
HARUNA NIYONZIMA na EMMANUEL OKWI wanaipa point tatu muhimu timu ya simba. Uwanja wa CCM KIRUMBA
Goli pekee la EMMANUEL OKWI halikuweza kuendeleza ushindi. FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA Baada ya kipigo cha goli 2-1 toka kwa Kagera sugar siku ya leo, Simba inakuwa imepoteza mechi 2 kati ya 24 ilizocheza kwenye ligi msimu huu. Michezo hiyo ni dhidi ya Mbao FC ambapo Simba ilifungwa 1-0 pamoja na mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar 2-1.
KAGERA SUGAR 2 - SIMBA 1 KAITABA STADIUM