WILSON ORUMA: "YANGA WAPEWE MAUA YAO/MARUMO SIO WA KUWACHUKULIA POWA/MGUU MMOJA WAMEWEKA FAINALI" by @Mpenja TV - Post Details

WILSON ORUMA: "YANGA WAPEWE MAUA YAO/MARUMO SIO WA KUWACHUKULIA POWA/MGUU MMOJA WAMEWEKA FAINALI"

Leo Tarehe 10/05/2023 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa kunapigwa Mchezo wa kwanza wa hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika Yanga dhidi ya Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini. Mchezo wa pili ulipigwa Afrika Kusini Tarehe 17/05/2023. Leo inatafutwa Tiketi ya kwenda hatua ya Nusu Fainali hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja Tv tutakuletea matukio yote kabla na baada ya Mchezo huu kufika Tamati

Similar Posts!