Zogo Mchongo: Kumbe kazi ya Usemaji sio tu kuongea! Ali Kamwe na Ahmed Ally waelezea ugumu wake. by @CRDB BANK PLC - Post Details

Zogo Mchongo: Kumbe kazi ya Usemaji sio tu kuongea! Ali Kamwe na Ahmed Ally waelezea ugumu wake.

Soka la Tanzania limekuwa ni ushabiki tu, vipi kuhusu uchumi na kuongeza thamani kwenye vilabu na kwa mashabiki? Kwenye Episode hii ya nne ya Zogo Mchongo tutakuwa na wasemaji mashuhuri kutoka timu kubwa za mpira nchini, Ali Kamwe kutoka Yanga na Ahmed Ally kutoka Simba. Kupitia wao tutajua mbivu na mbichi kuhusu maisha yao binafsi, kazi zao na anga la soka la bongo, lakini pia tutapata ufumbuzi kutoka Benki ya CRDB juu njia ya vilabu kunufaika na mashabiki pia kunufaika Usikose kutazama Zogo Mchongo kila siku ya Jumanne saa 3:00 Usiku kupitia Clouds TV na marudio ni kila Jumatano saa 8:30 mchana na Jumamosi saa 9:00 mchana na hapa hapa kwenye chaneli yetu ya YouTube.

Similar Posts!

Extended Highlights: SC Magdeburg vs. HSV Hamburg  | DAIKIN HBL | 31. Spieltag 25/26 |
Extended Highlights: SC Magdeburg vs. HSV Hamburg | DAIKIN HBL | 31. Spieltag 25/26 |

Alle Spiele der DAIKIN HBL live und auf Abruf bei Dyn Handball: https://www.dyn.sport/sport_handball Die Highlights werden ...

Highlights: SC Magdeburg vs. HSV Hamburg | DAIKIN HBL | 31. Spieltag 25/26 |

Dyn Moment: SC Magdeburg vs. HSV Hamburg | DAIKIN HBL | 31. Spieltag 25/26 |
Dyn Moment: SC Magdeburg vs. HSV Hamburg | DAIKIN HBL | 31. Spieltag 25/26 |

Alle Spiele der DAIKIN HBL live und auf Abruf bei Dyn Handball: https://www.dyn.sport/sport_handball. Folge uns in deinem ...

Basketball REPLAY: Würzburg Baskets – MHP Riesen Ludwigsburg | Basketball-Bundesliga
Basketball REPLAY: Würzburg Baskets – MHP Riesen Ludwigsburg | Basketball-Bundesliga

Die Easy Credit Basketball-Bundesliga LIVE bei SPORT BILD. Am 34. Spieltag zeigen wir euch das Spiel Würzburg Baskets ...

Vegas Golden Knights vs. Anaheim Ducks: Game Highlights #shorts
Vegas Golden Knights vs. Anaheim Ducks: Game Highlights #shorts

Vegas Golden Knights vs. Anaheim Ducks: Game Highlights #shorts #sports #nhl #sportsnews #highlights #breakingnews.

"Cup finals are strange", Pat Nevin, David Thompson & David James previews the FA Cup final
"Cup finals are strange", Pat Nevin, David Thompson & David James previews the FA Cup final

FaCup #ShopeeYTDeals Subscribe all sports on sooka: https://sooka.my/home Stadium Astro on Social Media: ▻ Follow on X: ...