#dullah kashasema hakoseagi huyuuu, huku kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE tumuachie simba atuletee πŸ†πŸ†πŸ†πŸ† by @HOME SPORT TZ - Post Details

#dullah kashasema hakoseagi huyuuu, huku kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE tumuachie simba atuletee πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†

Similar Posts!

KUMBE NI LIBASSE GUEYE NA MAX NZENGELI
KUMBE NI LIBASSE GUEYE NA MAX NZENGELI

- Siko hapa kwa ajili ya kuwafananisha Bali kuwasilisha kile nilichokuwa nafanyia kazi Siku ya Jana... βœ“ - Ni Ngumu muda mwingine kupata mkubwa zaidi ndani ya wakubwa ..ila kwa max Nzengeli na Gueye niliwapata hao ...βœ“ - Libasse Gueye kwa Simba Sc na Max Nzengeli kwa Yanga Sc. - Lakini wanatofauti Moja ya Ki-tactical ..max Nzengeli ni +1 player na Libasse ni wale players ambao hutengeneza uncertainty conditions kwa Mpinzani... βœ“ Ila Sikiliza hiyo video hapo juu