ROBERTO OLIVEIRA: MJUE KOCHA MPYA WA SIMBA KIUFUNDI | FALSAFA | JE ATAFITI? JIBU HILI HAPA. by @SoccerData - Post Details

ROBERTO OLIVEIRA: MJUE KOCHA MPYA WA SIMBA KIUFUNDI | FALSAFA | JE ATAFITI? JIBU HILI HAPA.

#kochampyawasimba #simba #usajilisimba Je Ungependa SoccerData ikuletee Uchambuzi Bora wa Kiufundi kila Siku? NAAMINI JIBU NI - NDIO☑️ Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi. SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni; 1. Video Camera 2. Computer 3. Condenser Microphone. Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia; TIGOPESA: 0710 679 388 HALOPESA: 0627 532 401 (Jina : Sekwao Mwendi) BANK ACCOUNT. CRDB BANK. SEKWAO MOHAMEDI MWENDI 0152235925700 Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo. ____________________________ KIASI KILICHOKUSANYWA HADI SASA NI SHILINGI ➖62,000 .00/-= Kuwa wa Kwanza kuchangia Leo, PAMOJA TUULETE UCHAMBUZI BORA.

Similar Posts!

JINSI SIMBA 'ITAKAVYOMFUNGA' AL AHLY  || HUTAAMINI || MBINU ZOTE HIZI HAPA.
JINSI SIMBA 'ITAKAVYOMFUNGA' AL AHLY || HUTAAMINI || MBINU ZOTE HIZI HAPA.

#Simba #AFL #alahly KARIBU AJE FARMS; https://www.youtube.com/@aje-farmsmashambayanayotem7392 AJE-FARMS LTD ni kampuni binafsi inayojishughulisha na Kilimo Biashara Mseto kwa kufanya shughuli za Kilimo na Ufugaji AJE-FARMS ilisajiriwa rasmi Tanzania mwaka 2016. Ni kampuni iliyoanzishwa na Madaktari wawili wa binadamu wote Dr .Hartig & Dr.Ibrahim Mdashiru ambao wote huamini kwenye "KINGA NI BORA KULIKO TIBA" na wote wanaamini kuwa magonjwa mengi yanaweza kukingwa kwa LISHE SAHIHI na mitindo bora ya maisha.Kilimo ni njia ya kwanza muhimu ya kukabiliana na magonjwa ! Kupitia chaneli hii tunalenga kuelimisha watazamaji/wafuatiliaji wa vipindi vyetu mbinu bora za kilimo biashara,ujasiriamali na mitindo bora ya maisha. Kupitia chaneli hii tutakusaidia kuyafikia masoko yenye tija kwa wakati,kuongeza thamani ya mazao yako, kulima kibiashara,kukupa msaada wa kupata teknolojia na zana bora za kilimo wakati wote. Timu yetu ya wataalam inaweza kukufikia popote na kukusaidia kutatua changamoto za kilimo & ufugaji. SUBSCRIBE NA UJIFUNZE ZAIDI JUU YA FURSA ZA KILIMO BIASHARA



HATMA YA ROBERTO SIMBA: KUNA SABABU KUU MBILI (2) ZA KUMUHUKUMU.
HATMA YA ROBERTO SIMBA: KUNA SABABU KUU MBILI (2) ZA KUMUHUKUMU.

Je unataka Kuudhamini uchambuzi kama alivyofanya #MATAIMAJENGO Nitafute, njoo TUCHATI kwa 0710 679 388 Nasi tutakupa Uchambuzi Unaoutaka.



MAKOSA GOLI LA 'LAKRED' KIUFUNDI || DYNAMOS 2-2 SIMBA
MAKOSA GOLI LA 'LAKRED' KIUFUNDI || DYNAMOS 2-2 SIMBA

#AyoubLakred #SimbaPowerDynamos #SoccerDataUchambuzi je ungependa madini kama Haya yawe yanakufikia kila siku na kwa wingi zaidi? ichangie Soccerdata leo; nami nita ku tag katika Uchambuzi Ujao; TigoPesa: 0710 679 388 Halopesa: 0627 532 401 (Sekwao Mwendi) Mungu akubariki sana