YAFAHAMU MATAIFA MATANO YATAKAYOIWAKILISHA AFRICA KOMBE LA DUNIA |JEE TANZANIA ITAFUZU ? by @Nyanga Online Tv - Post Details

YAFAHAMU MATAIFA MATANO YATAKAYOIWAKILISHA AFRICA KOMBE LA DUNIA |JEE TANZANIA ITAFUZU ?

Timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars inaongoza kundi J kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia zitakazochezwa huko Qatari mwaka 2022. Tanzania inaongoza kundi hilo baada ya ushindi wa kihistoria ugenini dhidi ya Benin Jumapili hii na kuweka hai matumaini yake ya kufuzu fainali hizo kwa mara ya kwanza. Saimon Msuva anayecheza soka lake Morroco, ndiye aliyeipatia bao pekee 'Taifa stars' katika mchezo huo ambao, Stars ilikuwa haipewi nafasi kubwa ya kupata hata sare. Kwa ushindi huo, Stars inaongoza kundi hilo ikiwa na alama 7 sawa na Benin anayepigiwa chapuo kuongoza kundi hilo, ambalo lina timu za Madagascar na DRC. Ukiacha Ghana na Cameroon mataifa ya Algeria, Tunisia, Nigeria, Ivory Coast, Stars, Mali, Misri, Afrika Kusini, Senegal, Morroco yalikuwa yanaongoza makundi hayo kabla ya michezo ya Jumatatu hii. Tanzania kuongoza kundi lake baada ya michezo minne ikiungana na mataifa hayo makubwa kisoka Afika, kumeleta hamasa kubwa kiasi mpaka Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu kutoa neno la kuwapongeza. WATCH NYANGA ONLINE TV ᴘʟᴇᴀꜱᴇ ʟɪᴋᴇ, ᴄᴏᴍᴍᴇɴᴛ, ꜱʜᴀʀᴇ ᴀɴᴅ ꜱᴜʙꜱᴄʀɪʙᴇ ꜱᴏᴍᴀ ʜᴀʙᴀʀɪ ᴋᴇᴍ ᴋᴇᴍ ᴢᴀ ʙᴜʀᴜᴅᴀɴɪ, ʜᴀʙᴀʀɪ ᴢᴀ ʙᴜʀᴜᴅᴀɴɪ ʜᴀᴢɪᴋᴀᴜᴋɪ ᴍᴀꜱᴀᴀ 24, ᴘᴀᴛᴀ ᴍᴀᴋᴀʟᴀ ᴢᴀ ᴍɪᴄʜᴇᴢᴏ, ᴍɪᴛɪɴᴅᴏ, ᴍɪᴢɪᴋɪ, ꜰɪʟᴀᴍᴜ ɴᴀ ᴍᴇɴɢɪɴᴇᴏ ᶜᵒᵖʸʳⁱᵍʰᵗ @²⁰²⁰ ᴺʸᵃⁿᵍᵃ online ᵗᵛ ᴬˡˡ ʳⁱᵍʰᵗ ʳᵉˢᵉʳᵛᵉᵈ #FIFAWorldCupQatar2022Qualifier #Taifastars #Tanzania #Soccer #Caf #fifa #Africa #feisalsalum #feitoto #golilaTanzania #golilafeitoto #feytoto #golilamsuvaleo #golilamsuva #Tanzaniavsbenin #msuva #Taifastars #soka #historiazamichezo #mtigaabdallah #newzfid #moreview #subscribe #youtuber #youtubers #youtubechannel #youtubevideos #zanzibarfootball #youtuber #azamtv #zanzibarsporttv #zanzibarcable #zbc #cafonline #youtubers #youtubechannel #youtubevideos #youtubevideo #youtubegaming #Tanzaniafootball #youtubemusic #Tbc1 #ZBC2 #youtuberindonesia #azamsport1 #youtubekids #moreviews #yanga #ishimanula #feitoto #yanga #mkude #johnboko #msuva #samatta #ronaldo #youtubeindia#youtubeitalia #youtubeuse #youtubelife #youtubersbrasil #youtubebrasil #youtubegamer #youtubecommunity #youtubecreator #highlight #youtuberp #youtubeblogger #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtubegamers #youtubeyoga #youtubermakeup #youtubegaming #youtubeblogger #youtubegamer #youtubefamily #youtubecouple #youtubemama #youtuberkids #youtubefitness #youtubevlogger #youtubetutorial #youtubevlog #vlog #youtubecomedy #youtubegiveaway #youtubegamingchannel #youtubefood #youtube #youtuber #youtubers #subscribe #youtubepagepromotion #youtubespotlight #youtubelikes #youtubefans #youtubecontent #youtubepost #youtubevideo #youtubestar #youtubemarketing #youtuberlife #youtubeguru #youtubecreator #youtubesubscribers #youtuberslife #youtubeviews #youtubeadvertising #instayoutubers #instavideo #instayoutube #instavideos #wcbforlife #wasafitv

Similar Posts!

CHAMA AFUNGA GOLI MATATA DHIDI YA VIPERS LEO HT SIMBA 1:0 VIPERS
CHAMA AFUNGA GOLI MATATA DHIDI YA VIPERS LEO HT SIMBA 1:0 VIPERS

Goli la viwango walilofungwa Vipers ya Uganda na Simba ya Tanzani Mashabiki washindwa kujizuia KeapWatching Nyanga tv .



Goli la kuongozwa Simba vs Raja Casablanca leo kwa Mkapa  Caf Champion League
Goli la kuongozwa Simba vs Raja Casablanca leo kwa Mkapa Caf Champion League

Simba sc vs Raja Casablanca Caf champion league keapWatching Nyanga tv . Kwa habari za michezo na kijamii za uhakika ...



Ali KAMWE ATOLEA UFAFANUZI GOLI LA YANGA DHIDI YA GEITA GOLD AGOMEA UCHAMBUZI " MIMI NI AFISA HABARI
Ali KAMWE ATOLEA UFAFANUZI GOLI LA YANGA DHIDI YA GEITA GOLD AGOMEA UCHAMBUZI " MIMI NI AFISA HABARI

AFISA HABARI WA YOUNG AFRICA ALI KAMWE ANGURUMA BAADA YA KUIBUKA MANENO MINGI MITAANI JUU YA USHINDI ...



MAGOLI YOTE 7 YA CLUB AFRICAIN WAPINZANI WA YANGA SHIRIKISHO WALIOWAFUNGA KIPANGA HAYA HAPA
MAGOLI YOTE 7 YA CLUB AFRICAIN WAPINZANI WA YANGA SHIRIKISHO WALIOWAFUNGA KIPANGA HAYA HAPA

MAGOLI YOTE 7 YA CLUB AFRICAIN WAPINZANI WA YANGA SHIRIKISHO WALIOWAFUNGA KIPANGA HAYA HAPA Keap ...