SIRI IMEFICHUKA UCHAGUZI WA SIMBA SC KUSIMAMIWA NA WATU WA YANGA SC, WANACHAMA WA SIMBA WALALAMIKA! by @AFROSATE MEDIA - Post Details

SIRI IMEFICHUKA UCHAGUZI WA SIMBA SC KUSIMAMIWA NA WATU WA YANGA SC, WANACHAMA WA SIMBA WALALAMIKA!

Mwenyekiti wa matawi ya Simba afichua siri ya kuwa watu waliopangwa na TFF kusimamia uchaguzi wa Simba ni mashabiki wa Yanga Sc lia lia! Maoni yako??

Similar Posts!

ABUSHIRI KUCHEZA BRAZIL HIVI KARIBUNI
ABUSHIRI KUCHEZA BRAZIL HIVI KARIBUNI

YANGA PRESS | Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, amefichua kuwa klabu hiyo imeanza kupokea ofa mbalimbali kutoka kwa timu zinazohitaji huduma ya mshambuliaji Juma Abushiri. Hersi amesema Yanga inaendelea kuchukua hatua za kimkakati katika kuboresha uendeshaji wa klabu, ikiwemo kutoa nafasi kwa wachezaji wake kujiunga na timu nyingine kupitia mfumo wa usajili na uhamisho. Ameongeza kuwa Abushiri ni miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuondoka, huku mazungumzo na hatua mbalimbali zikiendelea kuhusu uwezekano wa kujiunga na Palmeiras ya nchini Brazil. #afrosate #yangasc



ISMAEL TOURE ANAIMARIKA!
ISMAEL TOURE ANAIMARIKA!

Beki wa Kati wa SIMBA SC , Ismael Toure ameonekana akifanya mazoezi ya kujiweka sawa baada ya kupa majeraha havi karibuni! Get well soon Toure!



MANGUNGU LAZIMA AGOMBEE!
MANGUNGU LAZIMA AGOMBEE!

Mashabiki wa Simba wamtaka Mangungu



NOVATUS MIROSHI ALIVYOPELEKEA TIMU YAKE KUPOTEZA 1-2
NOVATUS MIROSHI ALIVYOPELEKEA TIMU YAKE KUPOTEZA 1-2

NOVATUS MIROSHI alifanya kosa na kupelekea wapinzani wao İstanbul Başakşehir F.K. kupata goli la pili dakika la 83 na mchezo kumalizika kwa timu yake Göztepe S.K.1-2 Başakşehir F.K. Maoni yako?



TANZANIA NI NYUMBANI, WANANIPENDA! FADLU DAVIDS.
TANZANIA NI NYUMBANI, WANANIPENDA! FADLU DAVIDS.

"Ninajisikia furaha. Nahisi kwamba Tanzania ni nyumbani kwangu"❤️🇹🇿 Maneno ya Kocha Fadlu Davids baada ya kuwasili Tanzania! #afrosate #yangasc