Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 ni Stephane Aziz Ki wa Yanga…… Cheki alivyopokea tuzo yake na kila kitu walichozungumza akiwa na Hamisa Mobeto baada ya kupigwa ‘surprise’ ya Dubai. Ni hafla ya tuzo za TFF kwenye ukumbi wa The Dome, Dar es Salaam LIVE #AzamSports1HD #TFFAwards2024 #TuzoZaTFF #TFFAwards #Tuzo #AzamMedia #SuperDome
Fuatilia uchambuzi na mengi yaliyojiri dimbani baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba vs Yanga uliopigwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Ndani ya studio Patrick Nyembera akiwa na wachambuzi Abissay Stephen na Godlisten Maro. Matangazo yako LIVE #AzamSports1HD lakini unaweza pia kuitazama kupitia katika #AzamTVMaxApp ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Simba SC imekabwa koo na kulazimishwa suluhu na Mogadishu City Club ya Somalia, katika mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Kagame 2026, ukipigwa kwenye Dimba la Kigali, Rwanga. Kwenye mchezo huu Simba imewatumia baadhi ay nyota wake wapya akiwemo Ibrahim Doumbia , Cooper, Kelvin Nashon na wengine. Tazama highlights.
KAMWE AKWEPA KUMZUNGUMZIA AZIZ KI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema hakuna timu Afrika ambayo haipendi kuwa na mchezaji mwenye daraja la Stephane Aziz Ki, japo amekwepa kuzungumzia kwa undani tetesi zinazomhusisha kurejea mitaa ya Jangwani. Kamwe pia amesema kuna mchezaji walimpandisha thamani makusudi ili watu walipe hela nyingi. Kamwe amesema hayo leo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz #YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE
Simba SC imenyakua Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuichapa Azam FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Dimba la Gombani Pemba. Goli pekee la ubingwa limefungwa Yahya Zayd ambaye amejifunga dakika ya 62.
Yanga SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuuya NBC 2025/26 kwa kishindo, ikiichapa JKT Tanzania mabao 3-0 kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kutwaa ubingwa wa tano mfululizo. Magoli yamefungwa na Prince Dube, Maxi Nzengeli na Laurindo Dilson Maria Depu.
Allan Okello 'Star Boy', amepiga magoli yote matatu #Hattrick , Yanga ikishinda 3-0 dhidi ya TRA United, mchezo wa raundi ya 29, Ligi Kuu ya NBC, uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Haya hapa magoli yote.