WALICHOKIFANYA WACHEZAJI WA YANGA SC BAADA YA KUIFUNGA DODOMA JIJI by @Mpenja TV - Post Details

WALICHOKIFANYA WACHEZAJI WA YANGA SC BAADA YA KUIFUNGA DODOMA JIJI

Ni Jumapili iliyopambwa kwa Nakshi za Zabibu na Wananchi wenye Jangwani yao,Ambapo itapigwa Mbungi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga Sc, kwenye Dimba la Jamhuri lililobarikiwa kuwepo kwenye Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania ,Jijini Dodoma, Ni Saa kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaSc #DodomaJijiFc #DaudiYanga

Similar Posts!