Kenya yachuana na Togo by @KBC Sports - Post Details

Kenya yachuana na Togo

Mechi baina ya timu ya taifa ya soka Harambee Stars na Togo inaendelea sasa hivi katika uga wa Kegue jijini Lome, mchuano ambao ni wa kufuzu kwa kombe la bara Afrika. Mechi hii haina umuhimu kwa timu hizo mbili kwani tayari zimebanduliwa na haziwezi kufuzu kwa fainali hizo zitakazoandaliwa nchini Cameroon mwaka ujao. Mara ya mwisho kukutana; Togo na Kenya zilitoka sare bao 1-1 mwezi Novemba mwaka 2019 Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCsports #KBClive

Similar Posts!

CAF Champions League: Al Ahly to play Esperance in final

Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 ...

Kilabu Bingwa, Afrika: Al Ahly kuchuana na Esperance fainalini

Michuano Ya Bara Afrika Ya Mpira Wa Wavu: Prisons Kenya 3-0  KPA

Michuano Ya Bara Afrika Ya Mpira Wa Wavu: KPA yailemea INJS na kufuzu kwa robo fainali

African Men’s Volleyball Club Championship: KPA 3-1 University of Zimbabwe Wolves

Kenya Ports Authority humbled Zambia's Green Buffaloes volleyball club by three straight sets in their third group D match of the ...

Last batch of Team Kenya arrive home after finishing 10th at the 2024 Africa games

The last batch of Team Kenya arrived home today from Accra Ghana after finishing 10th at the 2024 Africa games. Athletics team ...

2024 Africa Games: Kenya bags 2 more gold medals in Ghana

Kenya Defence Forces soldier Edwin Odour Okongo defeated Elouarz Yassine of Morocco on points to bag gold medal in the ...

2024 Africa Games: Kenya bags 4 Gold medals

Kenyan athletes added three more gold medals to their medal tally at the ongoing 13th Edition of Africa Games in Accra, Ghana, ...