MASSANZA:''LEO NIMEFURAHI SIMBA KUFUNGWA/MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI/MUNGU FUNDI SANA by @Mpenja TV - Post Details

MASSANZA:''LEO NIMEFURAHI SIMBA KUFUNGWA/MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI/MUNGU FUNDI SANA

Leo Januari 13,2024 katika Dimba la New Amaan Complex inapigwa mbungi ya Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2024,kati ya Bingwa mtetezi,Mlandege FC na Mnyama Simba SC,Saa 2:15 Usiku. Mpenja TV tunakuletea taarifa zote za kabla na baada ya Fainali hiyo.

Similar Posts!