Tunawatakia kila la heri Mashujaa Fc katika mchezo wa mkondo wa pili wa Playoff dhidi ya Mbeya City utakaochezwa katika Uwanja wa Sokoine - Mbeya.
@kigomaras @KigomaUjijiMC
#mapigonamwendo 

#mainfmtanzania #kigoma #tumekufikia

Tunawatakia kila la heri Mashujaa Fc katika mchezo wa mkondo wa pili wa Playoff dhidi ya Mbeya City utakaochezwa katika Uwanja wa Sokoine - Mbeya. @kigomaras @KigomaUjijiMC #mapigonamwendo #mainfmtanzania #kigoma #tumekufikia



... 🚨 | Kila bao laki sita.

WakatiI mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akitangaza kiingilio bure katika mechi ya marudiano ya play-off kati ya Mbeya City na Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amejibu mapigo akitangaza Sh 600,000 kwa kila bao

... 🚨 | Kila bao laki sita. WakatiI mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akitangaza kiingilio bure katika mechi ya marudiano ya play-off kati ya Mbeya City na Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amejibu mapigo akitangaza Sh 600,000 kwa kila bao





« Previous