Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
#simba #namungo KIKOSI CHA SIMBA SC VS NAMUNGO ,CHAMA BENCHI AJIBU YUPO NDANI
Uchambuzi Wa Clouds Fm ,Mchezo Wa Simba Na Mwadui |"Kesho Yanga Anaondolewa Na Tanzania Prison Taifa"
FRANCIS Kahata, kiungo wa Simba leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la ushindi lililowapeleka hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho mbele ya Mwadui FC, Uwanja wa Taifa wakati Simba ikishinda mabao 2-1. Mchezo wa leo ulikuwa ni wa kisasi kwa Simba baada ya kuchapwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara na bao lilifungwa na Mdamu ambaye leo amefunga pia bao kwa Mwadui. Mwadui FC ilianza kufunga bao la kwanza dakika ya 34 kupitia kwa Gerald Mdamu dakika ya 34 akimalizia pasi ya Ludovick. Bao pekee la kuweka mzani kwa Simba lilifungwa na Clatous Chama akiwa nje ya 18 dakika ya 45+2. Kipindi cha pili Simba walifanya mashambulizi ya kutafuta bao la ushindi sawa na Mwadui na dakika ya 84 ilijiandikia bao la pili la ushindi kupitia kwa Francis Kahata aliyemalizia pasi ya Shomari Kapombe kwa kichwa na kuwanyanyua mashabiki wa Simba. Simba inatinga hatua ya 16 ya kombe la Shirikisho na Mwadui FC inafungasha virago jumla.
SIMBA YATAJA SABABU YA KUIFUNGA MWADUI FC LEO 2 - 1 Kahata Na Chama|Mwadui Wakubali
Uchambuzi Kikosi Cha Simba Dhidi Ya Mwadui ,Kichuya kuanza"itakuwa mechi Nzuri"Simba wanachukua kombe la AFA
Mechi Ya Simba Vs Mwadui ,Kupigwa Uwanja Wa Taifa Kesho, Manara Afunguka Kila Kitu!
#kikosichasimba #alliencevssimba Kikosi Cha Simba Sc Dhidi Ya Alliance Fc ,Meddie Ndani,Bocco Nje.