Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
#usajilisimba #ame 🔥🔥🔥Beki kisiki, mwamba mkata umeme, Ibrahim Ame, amesaini mkataba wa miaka miwili kuwachezea Machampion wa soka la Tanzania, Simba SC🦁, akitokea Coastal Union ya Tanga.... . Katika safu ya ulinzi ya Wagosi wa Kaya, Ame, alikuwa pacha wa Bakari Nondo Mwamnyeto aliyesajiliwa na Yanga SC... . 🚶♂️🚶♂️Nani kalamba dume kati ya Simba na Yanga?
SIMBA WAFANYA KUFURU WAMDONDOSHA BEKI MKALI WA KIMATAIFA
#modewji #ndandafc #simbasc MO DEWJI AKOSHWA NA GWARIDE NA HESHIMA WALIYOTOA NDANDA KWA SIMBA,AWASHUKURU NAMNA HII