Klabu ya Bandari yenye pointi 9 na ambayo ipo nafasi ya 7 ya jedwali la ligi baada ya kucheza mechi 7 leo inakutana na Kakamega Homeboyz, je watakusanya alama tatu na kufikisha pointi 12? #LuluViwanjani awamu ya pili ukiwa nami Elvis Baya
Leo ndio ile siku 🔥🔥 Kitaeleweka saa tisa mchana wakati Bandari FC watakabiliana na Kakamega Homeboyz. Mpango wako leo ni kupata uhondo uliokamilika kila dakika pale Facebook na Twitter @BandariOfficial . #BandariNiYetu
Today's Match #Bandari vs #Kakamega Homeboyz. Chances(1X2): 34% 32% 34% . #Prediction: X. More tips here
Leo ndio ile siku 🔥🔥 Kitaeleweka saa tisa mchana wakati Bandari FC watapimana nguvu na Kakamega Homeboyz. Mpango wako leo ni kupata uhondo uliokamilika kila dakika pale Facebook na Twitter. #BandariNiYetu
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu nchini 🇰🇪 leo. 🔸Nzoia vs Western Stima, saa 9 mchana 🔸 Kariobangi Sharks vs Gor Mahia, saa 9 mchana 🔸 Kakamega Homeboyz vs Tusker FC, saa 9 mchana. #FKFPremierLeague
Kakamega Homeboyz Football Club is a football club from Kakamega, Kenya. They currently play in the Premier League.
The Kakamega Homeboyz's Football team activities page. Related with social media posts of Kakamega Homeboyz's games and scheduled events. Match records planned for future dates as well as home and away matches. Plan a trip and experience the excitement of the match on the spot!