Shabiki wa MBAO FC Aangua KILIO Hadharani  "Mama Yangu Weeee"
Shabiki wa MBAO FC Aangua KILIO Hadharani "Mama Yangu Weeee"

Shabiki wa MBAO FC Aangua KILIO Hadharani "Mama Yangu Weeee" Timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imefanikiwa kubaki kwenye i kuu bara baada ya kutoa sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, katika Mchezo uliochezwa leo katika dimba la CCM Kirumba Jijini humo. #MBAOFC #LIGIKUUBARA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



TZ PRISONS vs SIMBA SC LEO
TZ PRISONS vs SIMBA SC LEO

Tanzania Prisons 0-1 Simba Sc #AzamSports2 #TanzaniaPremierLeague #SisiNiSoka #AzamTVApp #LigiKuuTanzaniaBara #TanzaniaPrisons #SimbaSC #SSC #PrisonsSimba #tanfootball #yangasc #simbasctanzania #officialsingidaunitedfc #kmcfc_official #biasharautd #azamfcofficial #jkt_tanzania_sports_club #officialmbeyacityfc #tzprisonsscofficial #officiallipulifc @kagerasugarfc #mbaofc @mwadui_football_club #officialcoastalunion_tanga #officialstandutd @africanlyonfc #ruvushooting @alliancefootballclub2011 @ndandafc @mtibwaofficial



Kocha Mbao: Tufungwa na Simba 3-0, Tumefanya Makosa
Kocha Mbao: Tufungwa na Simba 3-0, Tumefanya Makosa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza furaha kwa mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #MbaoFC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Ushindi huo uliotokana na mabao mawili ya Nahodha John Raphael Bocco na Mnyarwanda Meddie Kagere unaifanya Simba SC ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22, lakini inabaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 59 na Yanga SC pointi 67 baada ya wote kucheza mechi 28. Bocco, mmoja wa wachezaji waliokuwemo kwenye kikosi cha Tanzania kilichokata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa uya Afrika mwaka huu nchini Misri wiki iliyopita, alifunga bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 25 akimalizia krosi ya beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



FT: SIMBA 3-0 MBAO FC, Mashabiki Wajitokeza Jamhuri Moro
FT: SIMBA 3-0 MBAO FC, Mashabiki Wajitokeza Jamhuri Moro

#SimbaSC Vs MbaoFC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Mbao zimekamilika uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. John Bocco alianza kufunga bao la kuongoza kwa Simba dakika ya 24 akimalizia faulo iliyopigwa na Mohamed Hussein. Bocco alipachika bao la pili kwa Simba kwa mkwaju wa penalti baada ya mchezaji wa Mbao FC, Peter Mwangosi kunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin dakika ya 58. Meddie Kagere alipachika bao la tatu kwa Simba baada ya beki wa Mbao kumchezea rafu Kagere eneo la hatari na mwamuzi kutoa penalti iliyopigwa na Kagere dakika ya 79. Simba leo wameanzisha jeshi lao kamili huku mlinda mlango namba moja Aishi Manula akiwa ameanzia benchi akimtazama Deogratius Munish. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous


Popular Tags

#Goal Celebrations  #Best Football Defending Skills  #Mesut Ozil  #Lionel Messi  #Goalkeeper Saves  #Paul Pogba  #Shaquille O'Neal  #Best Football Defending Skills  #Golden State Warriors  #Zlatan Ibrahimovi  

Popular Users

#BBCBreaking  #nyt4thdownbot  #imVkohli  #RealSkipBayless  #twitter  #BMcCarthy32  #espn  #narendramodi  #TheChristinaKim  #CNN  #BringerOfRain20  #wizkhalifa  #BellaTwins  #KDTrey5