🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA...
🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA...

🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA... Mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, uliopangwa kufanyika leo Jumamosi, kuanzia saa 1:00 jioni umehairishwa na Shirikisho la Soka Tanzania mpaka siku nyingine. Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeahirishwa kutokana na wachezaji wa Yanga na Benchi lao la Ufundi kuondoka katika uwanja wa Mkapa baada ya kuingia uwanjani saa 11:00 jioni na kusubiri kwa dakika 15 bila kumuona mpinzania wake, Simba uwanjani. Awali mchezo ulipangwa kuanza saa 11 jioni lakini ulisogezwa hadi saa 1 usiku. Wakati Yanga anaondoka, Simba nao wakaingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kuingia uwanjani kukabiliana ya Yanga saa 1:00 usiku. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI....
🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI....

🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI.... LEO ndio Leo, Global TV imefika katika uwanja wa Mkapa jijini Dar na kushuhudia umati mkubwa wa mashabiki wa Simba na Yanga, wakiwa wamefurika kwenye sikukuu ya soka nchini... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



🔴#LIVE​​​​​​​​​: COASTAL UNION vs YANGA SC ( 2 - 1 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKWAKWANI..
🔴#LIVE​​​​​​​​​: COASTAL UNION vs YANGA SC ( 2 - 1 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKWAKWANI..

🔴#LIVE​​​​​​​​​: COASTAL UNION vs YANGA SC ( 2 - 1 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKWAKWANI.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



VURUGU ZAIBUKA: MASHABIKI wa YANGA Wataka KUMPIGA REFA Uwanjani, YANGA vs KAGERA SUGAR..
VURUGU ZAIBUKA: MASHABIKI wa YANGA Wataka KUMPIGA REFA Uwanjani, YANGA vs KAGERA SUGAR..

VURUGU ZAIBUKA: MASHABIKI wa YANGA Wataka KUMPIGA REFA Uwanjani, YANGA vs KAGERA SUGAR.. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya YANGA SC vs KAGERA SUGAR, umechezwa leo Februari 17, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya ( 3 - 3)... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



INAUMA! FEI TOTO Amwaga MACHOZI Uwanjani, ASHINDWA Kutembea, BAADA ya SARE na KAGERA SUGAR...
INAUMA! FEI TOTO Amwaga MACHOZI Uwanjani, ASHINDWA Kutembea, BAADA ya SARE na KAGERA SUGAR...

INAUMA! FEI TOTO Amwaga MACHOZI Uwanjani, ASHINDWA Kutembea, BAADA ya SARE na KAGERA SUGAR... KIUNGO wa klabu ya Yanga, Fei Toto, amejikuta akitoka uwanjani huku akilia baada ya kupata sare ya mabao ( 3 - 3) dhidi ya Kagera Sugar, leo Februari 17.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



🔴#LIVE​: YANGA SC vs KAGERA SUGAR ( 3 - 3 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKAPA...
🔴#LIVE​: YANGA SC vs KAGERA SUGAR ( 3 - 3 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKAPA...

🔴#LIVE​: YANGA SC vs KAGERA SUGAR ( 3 - 3 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKAPA... Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya YANGA SC vs KAGERA SUGAR, umechezwa leo Februari 17, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya ( 3 - 3)... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



SHANGWE za DC MURO, SABAYA, KENANI Wakishangilia MAGOLI ya YANGA, Uwanja WAZIZIMA!
SHANGWE za DC MURO, SABAYA, KENANI Wakishangilia MAGOLI ya YANGA, Uwanja WAZIZIMA!

SHANGWE za DC MURO, SABAYA, KENANI Wakishangilia MAGOLI ya YANGA, Uwanja WAZIZIMA! Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya YANGA SC vs DODOMA JIJI, umechezwa leo Desemba 19, katika dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Yanga kuondoka na alama 3 muhimu kwa kuwafunga Dodoma mabao ( 3 - 1)... Dodoma Jiji walitangulia kuwafunga Yanga bao la uongozi dakika ya tatu tu ya mchezo huu, kupitia kwa straika wake, Seif Karihe... Magoli ya Yanga yamefungwa na Beki wake, Lamine Moro dakika ya 26, Straika mpya wa Yanga, Saido Ntibazonkiza nae ameweka kambani bao la pili dakika ya 68, na Goli la mwisho limefungwa na Bakari Nondo Mwamnyeto dakika ya 75...⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



MAMAAH! MREMBO wa YANGA Afanya VITUKO UWANJANI Akifurahia MAGOLI, Ashindwa Kabisa KUJIZUIA...
MAMAAH! MREMBO wa YANGA Afanya VITUKO UWANJANI Akifurahia MAGOLI, Ashindwa Kabisa KUJIZUIA...

MAMAAH! MREMBO wa YANGA Afanya VITUKO UWANJANI Akifurahia MAGOLI, Ashindwa Kabisa KUJIZUIA... Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya YANGA SC vs DODOMA JIJI, umechezwa leo Desemba 19, katika dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Yanga kuondoka na alama 3 muhimu kwa kuwafunga Dodoma mabao ( 3 - 1)... Dodoma Jiji walitangulia kuwafunga Yanga bao la uongozi dakika ya tatu tu ya mchezo huu, kupitia kwa straika wake, Seif Karihe... Magoli ya Yanga yamefungwa na Beki wake, Lamine Moro dakika ya 26, Straika mpya wa Yanga, Saido Ntibazonkiza nae ameweka kambani bao la pili dakika ya 68, na Goli la mwisho limefungwa na Bakari Nondo Mwamnyeto dakika ya 75... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Neymar  #Counter Attack Goals Football  #Best Goals  #Russell Westbrook  #Best Ball Controls  #Anthony Davis  #Stephen Curry  #Gareth Bale  #Zlatan Ibrahimovi  #James Harden  

Popular Users

#DjokerNole  #UKCoachCalipari  #BBCBreaking  #MichelleDBeadle  #cesc4official  #MieshaTate  #steveaustinBSR  #floydmayweather  #SportsCenter  #billbarnwell  #serenawilliams  #cnnbrk  #taylorswift13