KOCHA Simba "TUMEJARIBU Kila Njia Tumeshindwa kwa AZAM FC Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kuwa timu yake imepambana kupata matokeo mbele ya Azam FC lakini wameshindwa huku akiwaahidi mashabiki kuchukua alama tatu katika mchezo ujao dhidi ya Mtibwa huku wakiwasubiria Ndanda kwa hamu. Kocha Aussems amesema tulijaribu kupita kushoto na kulia kutafuta goli lakini haikuwezekana. #KOCHASIMBA #SIMBAVSAZAM https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA AZAM - "Sijui NITAFUKUZWA / Tumefanya MAKOSA / Nitaongea na WACHEZAJI" Mtanange kati ya Simba SC na waoka mikate Azam FC umemamlizika wa Simba kuwachapa Azam mabao 3- 0. Mabao mawili ya Simba yamewekwa kimiani na Meddie Kagere huku moja likifungwa na Nahodha John Bocco. Baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Makocha wa timu zote mbili Patrick Aussems wa Simba na Hans Van Der Pluijm wa Azam wamezungumza na waandishi kuhusiana na jinsi walivyuona mchezo huo. #SIMBAVsAZAM https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA SIMBA - "AZAM Tuliwapania Ila ni Timu Nzuri Sana" Mtanange kati ya Simba SC na waoka mikate Azam FC umemamlizika wa Simba kuwachapa Azam mabao 3- 0. Mabao mawili ya Simba yamewekwa kimiani na Meddie Kagere huku moja likifungwa na Nahodha John Bocco. Baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Makocha wa timu zote mbili Patrick Aussems wa Simba na Hans Van Der Pluijm wa Azam wamezungumza na waandishi kuhusiana na jinsi walivyuona mchezo huo. #SIMBAVsAZAM https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Goli la KAGERE Dhidi ya AZAM Lilivyotikisa UWANJA Ni mtanange wa kukata na shoka kati ya Wekundu wa Msimbazi SIMBA Sc Na waoka mikate Azam FC ambao kipindi cha kwanza kimemalizika kwa SIMBA kuwachapa Azam mabao 2-0. Mabao ya SIMBA yamefungwa na MEDDIE KAGERE dakika ya 04....huku BAO LA pili likifungwa na Nahodha John Bocco, baada ya kupokea pasi kutoka kwa Sana Coulibaly. #SIMBAVsAZAM https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
CHIRWA, Kikosi cha AZAM Kilivyowasili UWANJANI Kuwavaa SIMBA!! Timu ya Azam FC imetua kibabe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza dhidi ya Simba ukiwa ni mchezo wao wa kwanza kukutana msimu huu katika ligi kuu. Simba inaingia katika mchezo dhidi ya Azam FC ikiwa na viporo vya mechi nane hadi sasa kwenye ligi hiyo baada ya kucheza mechi 17 na kupata pointi 42, Yanga ikiwa na michezo 25 na pointi 61, Azam ina mechi 24 na pointi 50. #SIMBAVsAZAM https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Cheki Kikosi cha SIMBA Kilivyowasili TAIFA Kibabe.... | SIMBA Vs AZAM KIKOSI kamili ya Klabu ya Simba kimewasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar tayari kwa ajili ya kuumana na waoka mikate wa Azam FC, katika mchezo wa kuwania kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara. #SIMBAVsAZAM https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho