๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐! ๐๐ฆ Simba SC ๐น๐ฟ rasmi itacheza dhidi ya Tusker ๐ฐ๐ช kwenye sherehe za SimbaDay 2026 na mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki utachezwa tarehe 08-08-2026 katika uwanja wa Uhuru. ๐ Awali Simba walituma ombi la kuialika FC Dynamos ya Zimbabwe ๐ฟ๐ผ lakini mpaka sasa klabu hiyo ya Zimbabwe haijatoa majibu na ndipo Simba SC ikabadili maamuzi ya kuialika Tusker ya nchini Kenya ambayo imejibu kwa wakati na kukubali kushiriki mchezo huo. WACHEZAJI WAPYA SIMBA MPAKA SASA : ๐ฟ๐ฆ Keletso Makgalwa โ ametokea Sekhukhune United (Afrika Kusini). ๐ฎ๐ถ Ibraheem Jabaar โ ametokea Stellenbosch FC (Afrika Kusini). ๐จ๐ฎ Serge Badjo โ ametokea USM Alger (Algeria). ๐น๐ฟ Kelvin Nashon โ ametokea Pamba Jiji FC (Tanzania). ๐น๐ฟ Bakari Msimu โ ametokea Coastal Union (Tanzania).