Content removal request!


MJUE MKATA UMEME MPYA WA SIMBA SC/UBORA WAKE UTAKUSHANGAZA/ASAINI MIAKA MITATU.

Simba pro tunafahamu kua Simba Pipo mbioni kukamilisha dili la king mkabaji wa klabu ya Hafia FC ambe ni Mohamed Damaro Camara kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali Sasa Dullah anatupitisha kufahamu kwa kina ubora wa nota huyo uwezo wake Dimbani na historia yake ya Soka kwa kina Kama unahitaji kuungwa kwenye group lets hakikisha unatuchek kwa namba 0626629644 uungwe kwenye group la SIMBA PRO. Tufollow Simba PRO katika account yet ya Instagram Link https://www.instagram.com/simba_professional?igsh=MXNjbGlmdjd3M2Vxdw==