Content removal request!


Waziri wa habari, mawasiliano,teknologia na masuala ya digitali Eliud Owalo amewapa changamoto Posta Rangers FC kushinda mechi yao ya ligi kuu dhidi ya mabingwa watetezi Tusker FC siku ya Jumatano ili kujiongezea matumaini ya kumaliza miongoni mwa timu 10 bora. #Darubini