SIMBA SC, YANGA SC NA COASTAL UNION WAKABIDHIWA TUZO ZA KIKANUNI by @Millard Ayo - Post Details

SIMBA SC, YANGA SC NA COASTAL UNION WAKABIDHIWA TUZO ZA KIKANUNI

Leo July 7 2022 katika ukumbi wa Johari Rotana jijini Dar es Salaam zimefanyika tuzo za TFF ambapo wachezaji, marefa na timu zilizofanya vizuri kwa maana ya kuwa Bingwa, mshindi wa pili odio wanakabidhiwa tuzo zao.

Similar Posts!