Klabu ya Azam Fc jana imeshindwa kuutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare na klabu ya Simba.
Klabu ya soka ya Ndanda FC mkoani Mtwara imeibuka na ushindi mwingine hii leo baada ya kuibamiza Lipuli FC ya mkoani Iringa kwa mabao 2-1
Timu ya Singida United imeendelea kuonesha ukomavu wa soka baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Kagera Sugar.
Klabu ya soka ya Simba imeendeleza wimbi la ushindi kunako ligi kuu Tanzania bara baada ya leo kuichapa Mwadui FC kwa mabao 3-0
Ligi kuu soka Tanzania bara imeendelea leo kwa kupigwa mchezo mmoja kati ya Azam na Kagera Sugar ambapo Azam FC imeshinda kwa bao moja kwa bila
Timu za Azam FC na Simba zimetoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa hapo jana katika dimba la Azam Complex
Timu ya Azam imeshindwa kutamba katika uwanja wa nyumbani baada ya kulazimishwa kutoka sare na timu ya Simba