Magoli ya Simba sc vs Dodoma jiji fc Mugalu kafunga mbili na moja likienda kwa Miquissone by @Above sky sports - Post Details

Magoli ya Simba sc vs Dodoma jiji fc Mugalu kafunga mbili na moja likienda kwa Miquissone

Simba SC imeendelea kujikita kilele kwa kufunga Dodoma jiji 3-1 magoli ya Chris Mugalu na Luis Miquussone na goli la Dodoma likifungwa na Cleophace Mkandala

Similar Posts!