MITIHANI MITANO YA MWAMUZI SIMBA VS AZAM FC NUSURA NGUMI ZIPIGWE by @Global TV Online - Post Details

MITIHANI MITANO YA MWAMUZI SIMBA VS AZAM FC NUSURA NGUMI ZIPIGWE

MITIHANI MITANO MWAMUZI SIMBA VS AZAM FC NUSURA NGUMI ZIPIGWE MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameendeleza moto wake wa kucheka na nyavu baada ya kupachika bao lake la saba ndani ya ligi na kuipa pointi tatu timu ya Simba mbele ya Azam FC. Mchezo wa leo ambao umechezwa uwanja wa Taifa ulikuwa na ushindani mkubwa na ulitawaliwa na ubabe mwingi kutokana na kila timu kuhitaji kupata pointi tatu. Simba wakiwa wenyeji wa mchezo iliwabidi wasubiri mpaka dakika ya 49 kuandika bao la kuongoza lililopachikwa kimiani na Kagere akimalizia pasi ya Francis Kahata kwa kichwa. Ushindi huo unaifanya Simba kuzidi kujikita kileleni ikiwa na pointi 15 na imecheza michezo mitano kwa kusepa na pointi zote tatu. Beki wa Simba, Pascal Wawa ndiye alikuwa nyota wa mchezo kwani aliokoa hatari nyingi kutoka kwa Chirwa ambaye alikuwa msubufu langoni akihaha kupata goli la ushindi ila bahati haikuwa yao. Simba ilifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kumtoa Sharaf Shiboub nafasi yake ikachukuliwa na Clatous Chama, Hassan Dilunga alimpisha Miraj Athuman, Francis Kahata alimpisha Ibrahim Ajib kwa upande wa Azam FC alitoka Richard Djoud YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEWS: https://www.youtube.com/playlist?lial...

Similar Posts!

AZIZ KI AULIZIA MKATABA WAKE ANAPEWA LINI - AMVAA RAIS wa YANGA - ''NAONDOKA - KWAHERI WANANCHI''...
AZIZ KI AULIZIA MKATABA WAKE ANAPEWA LINI - AMVAA RAIS wa YANGA - ''NAONDOKA - KWAHERI WANANCHI''...

AZIZ KI AULIZIA MKATABA WAKE ANAPEWA LINI - AMVAA RAIS wa YANGA - ''NAONDOKA - KWAHERI WANANCHI''... Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



GHARIBU MZINGA - IHEFU vs YANGA, NINI YANGA WALIKOSEA KIPINDI CHA KWANZA, NINI KIMEWAADHIBU IHEFU?
GHARIBU MZINGA - IHEFU vs YANGA, NINI YANGA WALIKOSEA KIPINDI CHA KWANZA, NINI KIMEWAADHIBU IHEFU?

GHARIBU MZINGA - IHEFU vs YANGA, NINI YANGA WALIKOSEA KIPINDI CHA KWANZA, NINI KIMEWAADHIBU IHEFU? Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



🔴#Live: IHEFU FC ( 0 ) VS YANGA SC ( 1 ) –NUSU FAINALI CRDB BANK FEDERATION CUP (CBFC - TANZANIA)
🔴#Live: IHEFU FC ( 0 ) VS YANGA SC ( 1 ) –NUSU FAINALI CRDB BANK FEDERATION CUP (CBFC - TANZANIA)

🔴#Live: IHEFU FC ( 0 ) VS YANGA SC ( 1 ) –NUSU FAINALI CRDB BANK FEDERATION CUP (CBFC - TANZANIA) Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



🔴#Live: TP MAZEMBE WATINGA OFISI za YANGA - ALI KAMWE - CEO WAFUNGUKA - "WAMEKUJA KUJIFUNZA"...
🔴#Live: TP MAZEMBE WATINGA OFISI za YANGA - ALI KAMWE - CEO WAFUNGUKA - "WAMEKUJA KUJIFUNZA"...

🔴#Live: TP MAZEMBE WATINGA OFISI za YANGA - ALI KAMWE - CEO WAFUNGUKA - "WAMEKUJA KUJIFUNZA"... Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



MASHABIKI WA SIMBA WAWAKATAA VIONGOZI WAO WATAKA WAJIUZULU - WAMLAUMU ALIYESABABISHA PENALTY...
MASHABIKI WA SIMBA WAWAKATAA VIONGOZI WAO WATAKA WAJIUZULU - WAMLAUMU ALIYESABABISHA PENALTY...

MASHABIKI WA SIMBA WAWAKATAA VIONGOZI WAO WATAKA WAJIUZULU - WAMLAUMU ALIYESABABISHA PENALTY... Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



🔴#Live: AL AHLY VS SIMBA: MUNGU HATOKEI MISRI TU! MNYAMA LEO LAZIMA KIELEWEKE TUNAITAKA NUSU FAINALI
🔴#Live: AL AHLY VS SIMBA: MUNGU HATOKEI MISRI TU! MNYAMA LEO LAZIMA KIELEWEKE TUNAITAKA NUSU FAINALI

Live: AL-AHLY VS SIMBA: MUNGU HATOKEI MISRI TU! MNYAMA LEO LAZIMA KIELEWEKE TUNAITAKA NUSU FAINALI ...