MACHAWA; Tambo za Msemaji wa Simba Ahmed Ally, Amlipua Tena Haji Manara by @BM TV TANZANIA - Post Details

MACHAWA; Tambo za Msemaji wa Simba Ahmed Ally, Amlipua Tena Haji Manara

MASHABIKI WA SIMBA WAACHE UOGA ETI KISA MBEYA CITY "Ahmed Ally" Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally amewataka Mashabiki wa Klabu hio kutembea kifua mbele kwani Historia na matokeo mazuri inawabeba licha ya hali wanayoipitia kipindi hiki. Ahmed Ally @ahmedally_ ameyasema hayo wakati wa Mahojiano na Wanahabari walipomtaka atoe neno lenye Matumaini kwa Mashabiki wa Simba wakihusishanisha na matokeo mabaya ya Kufungwa na Mbeya City. "Mashabiki wa Simba waache Uoga, Simba ilishakula 5 Congo akaja hapa akampiga mtu Kidude" aliwakumbusha Mashabiki wa Simba @simbasctanzania Kuhusu mechi dhidi ya Mtibwa , Mashabiki wa Simba wametakiwa kutolazimisha kuingia Uwanja wa Manungu iwapo nafasi hazitatosha badala yake waangalie kwenye Televisheni mechi hio locha ya kwamba Wavhezaji wa Simba wamezoe VIBE la Mashabiki elfu 60 kama kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam alisisitiza Ahmed Ally. Full video story tumekuwekea kwenye YouTube Channel yetu BM TV Tanzania, waweza kwenda kuitazama SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

Similar Posts!

🔴#LIVE: YANGA SC VS AS FAR RABAT NEW AMAAN COMPLEX

#BmtvTanzania #Bmtv Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

AUSTRALIA Ya Mfukuza Balozi Wa IRAN Kisa Hiki Hapa, Wachambuzi Wabainasha Madhara Badae

BmtvTanzania #Bmtv Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK ...

🔴LIVE: KENYA VS MADAGASCAR
🔴LIVE: KENYA VS MADAGASCAR

#BmtvTanzania #Bmtv Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

Christina Mwagala Abananishwa, Aukubali Mziki wa Yanga Shingo Upande

BAUNSA WA YANGA Afunguka Kilichowakuta Simba Uwanja wa Mkapa Kususia Mechi......KIBANDAUMIZA

MAGOLI, MC Alger 2-0 Yanga Tazama KIPRE JR Alivyoshangilia

UCHAWI, Tuliwasha Taa za Uwanja wa Azam Siku 3 Kabla ya Mechi Kuhofia Mambo haya "Hasheem Ibwe"

MZARAMO WA SIMBA Awacheka Yanga Kungwa na Azam, Atamba Kuwashangilia Mamelod Sundowns Wakija