🔴INAUMA SANA, MWAKINYO Alivyoangua Kilio Hadharani, Ataja Alichofanyiwa Kabla Diaspora Wamfariji by @BM TV TANZANIA - Post Details

🔴INAUMA SANA, MWAKINYO Alivyoangua Kilio Hadharani, Ataja Alichofanyiwa Kabla Diaspora Wamfariji

Bondia Namba moja wa Tanzania Hassan Mwakinyo ametoa chozi la Uchungu baada ya Kupigwa kwa TKO na mpinzania wake Liam Smith raia wa Uingereza, Pambano hilo lililopigwa Jijini Liverpool Uingereza usiku mnene kuwamkia leo, Mwakinyo amemtupia lawama zote Mwamuzi kwa kushindwa kumudu kulisimamia ipaswavyo "Nilitema Mouth Guard nikiwa nimepiga goti ili nimweleze Mwamuzi kuwa viatu vinanipe ENKA ndio mpinzani akanishindilia Ngumi pale pale na refa akamaliza Mchezo eti Nimeigwa" alisema kwa Masikitiko huku akitokwa machozi Mwakinyo. Kutokana na matokeo hayo mabaya, Hassan Mwakinyo amewaomba radhi Watanzania, Serikali, Diaspora waliofika kushuhudia pigano hilo pamoja na Wadau wote walioumizwa na kupoteza kwake na ameomba mechi ya marudiano (Re Match) kwani anaamini ana kitu cha kufanya zaidi. Zaidi Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=cvW1h44tm7c SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

Similar Posts!

MZARAMO WA SIMBA Awacheka Yanga, Atamba Kuwashangilia Mamelod Sundowns Wakija Kwa Mkapa

#BmtvTanzania #Bmtv Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

MSIGWA Afafanua, Yanga Kupewa Milioni  Wakati Wamefungwa na USM Algers

BmtvTanzania Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK ...

MWANANCHI Awashangaa Simba, Wameifunga Ruvu Shooting ila Wametoka Bila Furaha

SIMBA Walivyotua Kimkakati Kuifunga Ruvu Shooting Bila Huruma

MCHEZAJI WA RIVERS UNITED Aitamani Simba, Yanga na Azam / Amkubali Mayele

UTACHEKA, Mzee wa Utopolo Awacheka Simba, Kutolewa na Wydad

SIMBA Hatujatolewa Kiboya, Wydad Walianza Kuswali Kabla Hawajaswaliwa, Ahmed Ally Atamba