AHMED ALLY MTAMJUA SASA AWAPIGA KIJEMBE YANGA WAMEIPONZA NAMUNGO "HII DOZI YA MKUBWA KAPEWA MTOTO" by @Millard Ayo - Post Details

AHMED ALLY MTAMJUA SASA AWAPIGA KIJEMBE YANGA WAMEIPONZA NAMUNGO "HII DOZI YA MKUBWA KAPEWA MTOTO"

Simba SC wamefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2022 baada ya kuifunga Namungo FC kwa Magali 2-0, sasa Simba SC watacheza fainali dhidi ya Azam FC siku ya Alhamisi ya January 13 2022.

Similar Posts!